Sunday, October 11, 2015

KAMPENI ZA CCM SUMBAWANGA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ilembe wialya ya Sumbawnga Vijijini baada ya kuhutubia mkutano wa Kapeni za CCM katika kijiji cha Ilemba.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea kadi ya chama cha ACT kutoka kwa aliyekuwa mgombea Udiwani wa Chama hicho katika kata ya Ilemba, Bw. Sospeter Magese aliyekihama chaa hicho na kurejea  CCM katika mkutano wa Kampeni za CCM uliohutubiwa na Mheshimiwa Pinda  katika kijiji cha Ilembea.

No comments:

Post a Comment