Monday, July 13, 2015

MGOMBEA NAFASI YA URAIS KUPITIA CCM APATIKANA NI JOHN POMBE MAGUFULI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. John Pombe Magufuli, baada ya kutangazwa kuwa Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, katika uchaguzi uliofanyika Jana Julai 11, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Convition Centre), uliopo Mjini Dodoma. Dkt. Magufuli ameibuka mshindi kwa jumla ya kura 2104, wakati wapinzani wake, Balozi Amina Salun Ali akipata kura 253 na Dkt. Asha-Rose Migiro akipata kura 59.


No comments:

Post a Comment