Sunday, March 29, 2015

SHEREHE YA KUMUAGA MKUU WA MKOA WA ZAMANI WA KAGERA KANALI MSTAAFU FABIAN MASSAWE NA KUMKARIBISHA MKUU WA MKOA WA SASA JOHN MONGELLA

 Mkuu wa mkoa wa Kagera, John Mongelaa akishiriki kuimba wimbo wa hamasa katika mkoa wa Kagera ulioasisiwa na Kanali Massawe.
 Baadhi ya wakuu wa wilaya katika mkoa wa Kagera walioudhuria sherehe hiyo.
 Wakuu wa wilaya.
 Baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini, katika ni askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba Methodius Kilaini.
 Mama Massawe (kulia) na Mama Mongella (kushoto).



 Baadhi ya wajumbe wa kamatiya ulinzi na usalama ya mkoa wa Kagera, kulia ni kamanda wa jeshi la polisi Kagera, Henry Mwaibambe, George Kombe afisa wa idara ya uhamiaji mkoa wa Kagera na mkuu wa TAKUKURU , Mwaiselo.
 Mambo ya keki hayo.

 Mkuu wa wilaya ya Karagwe, Dali Rwegasira akifaya vitu vyake.
 Kanali mstaafu Massawe akiwaaga wananchi wa mkoa wa Kagera, amewasisitiza wananchi kuchangamkia fursa za umoja wa nchi za afrika mashariki, pia amewataka wananchi kujiepusha na vitendo vinavyohatarisha amani, na mambo yanayochangia umaskini.


 Baadhi ya waandishi wa habari walioudhuria sherehe hiyo, kutoka kushoto, Charles Mwebeya (TBC), Audax Mutiganzi wa CLOUDS TV na mmiliki wa mtadao huu wa kijamii na Mariam Emily wa STAR TV.
Hawa pia ni waandishi wa habari walioudhuria sherehe hiyo, nyuma kulia ni Alen Sylivery wa ITV na Sylvester Raphael afisa habari wa ofisi ya mkuu wa mkoa Kagera.

No comments:

Post a Comment