Monday, March 16, 2015

PMO PHOTOS-MAMA PINDA NA WNAHARAKATI WA AMANI WA JAPAN

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza na Mtafiti Mwandamizi wa Taasisi ya INSTITUTE FOR PEACE POLITICIES  ya Japan, Yoshihiro  Yamazaki  (kulia) na Katibu Mkuu wa tasisi ya amani ya Universal Peace Federation ya Japan, Seiichi Kikuya katika chakula cha jioni alichoandaliwa na Tasisi hiyo kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo Machi 16, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment