Thursday, March 12, 2015

MHESHIMIWA PINDA NA MKEWE WAWASILI JAPAN

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi Mteule wa Japan Nchini Tanzania, Mhe. Masahiro Yoshida kwenye Hoteli ya New Otani jijini Tokyo  Machi 13, 2015 ambako Machi 14, 2015 anatarajiwa kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano Kuhusu namna ya kukabiliana na maafa utakaofanyika Sendai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment