Tuesday, March 31, 2015

JESHI LA POLISI KAGERA LAWANASA WATU WAWILI WALIKUWA WAKIUZA VIUNGO VYA ALBINO

Watuhumiwa waliokuwa wakiuza viungo walipata viungo hivyo ambavyo ni pamoja na mifupa na mafuvu kwa kuchimba kaburi la Laston Bartazar John  mkazi aliyekuwa mkazi wa kijiji cha Kandegesho kilichoko wilayani Karagwe, walikuwa wakiuza viungo hivyo kwa shilingi milioni 20, watuhumiwa hao walikamatwa eneo la kyaka kwenye hoteli ya FORD chumba namba 1, walikuwa kwenye harakati za kusafirisha viungo hivyo Maeneo ya Runzewe kwa lengo la kuviuza.



Mabaki ya mifupa waliyokutwa nayo watuhumiwa.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera, Henry Mwaibambe akionyesha baadhi ya viungo.
Kamanda akiwaonyesha watuhumiwa.



Hili ni fuvu.

Meno hayo.

No comments:

Post a Comment