Friday, March 06, 2015

BALOZI KAGASHEKI AKIWA NDANI YA KANISA LA KING JEMSI KWA MAOMBEZI

Mchungaji King Jemsi akiomuombea mbunge wa jimbo la Bukoba mjini, Balozi Khamis Kagasheki alikuwa kwenye kanisa lake lililoko maeneo ya Kata ya Kashai yaliyoko katika manispaa ya Bukoba, baadhi ya wananchi katika manispaa ya Bukoba wameuchukua kwa tafsiri tofauti uamzi wa mbuinge huyo ambaye ni muumini wa dhehebu la kiislamu kuombea na kiongozi wa dhehebu la kikiristo, wengune walihisi kwamba amechukua uamzi wa kubadili dini yake.

No comments:

Post a Comment