Wednesday, February 04, 2015

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA MADHEHEBU YA DINI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha  mashauriano cha viongozi wa dini kilichofanyika kwenye Kituo cha  Mikutano cha Kimataifafa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 3, 2015. Kulia ni ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam ,Alhad Salum Musa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na askari wa Jeshi la Kujenga Taifa wa Kikosi cha Mlale mkoani Ruvuma   alipokuwa akiondoka mjini Songea kurejea Dodoma Februari 3, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment