Wednesday, February 04, 2015

RAIS KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA IRAN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete akimlaki na kisha kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje
wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran, Mheshimiwa Javad Zarif na ujumbe wake
Ikulu jijini Dar es salaam leo, Jumatano, Februari 4, 2015. PICHA NA
IKULU

No comments:

Post a Comment