Sunday, February 01, 2015

PINDA ALIPOWASILI MKOANI SONGEA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwapungia wananchi  baada ya kuwasili kwenya uwanja wa ndege wa Songea  Januari 31, 2015 ambako Februari 1, 2015 atashiriki katika maadhimisho ya miaka 38  ya kuzaliwa kwa CCM  . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua baadhi ya vyereheani  alivyowapatia wahitimu wa mafunzo ya kushona nguo wa Chuo cha VETA cha Mjini Songea  Januari 31, 2015. (Picha na Ofisiya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Thabit Mwambungu baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea Januari 31, 2015 na Februari 1, 2015 atashiriki katika maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment