Wednesday, January 28, 2015

RAIS KIKWETE AHAMASISHA MCHANGO WA DOLA BILIONI 7.5 KWA AJILI YA CHANJO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kansela Angela  Merkel wa
Ujerumani,  Rais wa Mali Mhe  Ibrahim Boubacar Keïta, Waziri Mkuu wa
Norway Mhe. Erna Solbergna Mwenyekiti Mwenza wa Bill&Melinda Gates
Foundation,  Bw.  Bill Gates, wakiwa jijini Berlin, Ujerumani, kabla
ya kuanza kwa mkubwa wa kuchangisha fedha katika mkutano wa kimataifa
wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global
Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi
kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500
wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba
wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha
.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo  na  Mwenyekiti
Mwenza wa Bill & Melinda Gates Foundation,  Bw.  Bill Gates wakati wa
chakula cha mchana  cha mazungumzo na kuhusu  kuchangisha fedha
katika mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za
kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation
(GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo
mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali
mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza
maisha.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika hatua
mbalimbali za  mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya
juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and
Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo
duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia
magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari
ya kupoteza maisha.

No comments:

Post a Comment