Sunday, October 12, 2014

KIKWETE AAGA MWILI WA DR. SHIJA

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili
wa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo
Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole Mama Getrude Shija, Mjane
wa  Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo
Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam.
Rais Kikwete akipeana mikono na Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha
Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) baada ya kutoa salamu za
rambirambi kutoka makao makuu ya CPA jijini London. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment