Monday, August 25, 2014

HARAMBEE YA KUCHANGIA MFUKO WA MKAPA FELLOW



  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mchango wa shilingi milioni 15 kutoka kwa Mfanyabiashara wa Mwanza na Dar es salaam Jumanne Kishimba katika harambee ya kuchangia  Mradi wa Mkapa Fellows iliyofanyiak kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23,2014. Zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3 zilichangwa. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa  baada  ya harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows iliyofanyika kwenye hoteli ya JB Belmont  jijini Mwanza, August 23, 2014. Zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3 zilichangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment