Wednesday, April 02, 2014

KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia Mamia ya wakazi wa Kijiji cha Lugoba waliofurika kwenye uwanja wa Mnadani,kusikiliza sera ya Mgombea Ubunge huyo April 2,2014.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akipokea kadi za Chama cha CUF kutoka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Kata ya Msata,Idd Njema ambaye amejiunga na CCM sambamba na familia yake.katikati ni Meneja wa Kampeni za CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Steven Kazidi.

No comments:

Post a Comment