Tuesday, April 08, 2014

HITIMISHO KAMPENI YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa kufunga kwa Kampeni za CCM,zilizofanyika April 5,2014 kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Kikaro,Miono ndani ya Jimbo la Chalinze.

No comments:

Post a Comment