Wednesday, March 19, 2014

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE CCM RIDHIWANI KIKWETE

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwa ameungana na wananchi wa Kijiji cha Kwamduma,Kata ya Kibindu kwenye Msiba wa Mtoto wa Mzee Juma Mkonje (hayupo pichani)

No comments:

Post a Comment