Tuesday, March 11, 2014

MAMBO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

 Profesa Anna Tibaijuka, waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi akiwaongoza wanawake wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo katika mkoa wa Kagera yaliadhimishwa wilayani Muleba.



No comments:

Post a Comment