Tuesday, March 04, 2014

MAMBO YA BUNGE LA KATIBA


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta  na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,  Bungeni mjini Dodoma Machi 3,2014. Kushoto ni Kingunge Ngombale-Mwiru, Kulia ni Freeman Mbowe na Wapili kulia ni James Mbatia. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuuy)

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge  mjini Dodoma Machi 3, 2014 baada ya kusitishwa shughuli za Bunge Maalum  la Katiba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment