Wednesday, March 05, 2014

BUNGE LA KATIBA DODOMA

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mwenyekiti wa Kamati ya Kumshauri Mwenyekiti Kuhusu Kanuni za Bunge Maalum la Katiba, Profesa Costa Mahalu, bungeni mjini Dodoma Machi 4, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Muonekano wa ukumbi wa bunge ambako Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma ambamo Wajumbe wanakutana kujadili rasimu ya kanuni za Bunge Maalum za mwaka 2014.

No comments:

Post a Comment