Wednesday, February 26, 2014

Waziri mkuu Pinda Rais wa kampuni ya Schlumberger

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Rais  wa  kampuni ya  Schlumberger Kanda ya Afrika na Ulaya, Bibi  Catherine MacGregor kabla ya mazungumzo yao,  kwenye makazi ya Waziri Mkuu, mjini Dodoma Februari  26,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment