Sunday, February 23, 2014

WAZIRI MKUU PINDA AHUTUBIA SEMINA YA WATENDAJI WA JUMUIA YA WAZAZI CCM


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia semina ya viongozi na  watendaji  wa Jumuiya  ya Wazazi  Ngazi ya Taifa, mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Februari  22, 2014wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua semiana hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 Washiriki wa Semina ya viongozi na  watendaji  wa Jumuiya  ya Wazazi  Ngazi ya Taifa,mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Februari  22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania,Abdallah Majura Bulembo  (kulia)  na Makamu wake  Dogo Idd Mabrouk (Wapili kushoto) na Mjumbe wa Kamati yaUtekelezaji ya Jumuiya hiyo,Mohammed Sif Khatib (wapili kulia) kutoka kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya  Taifa ya CCM mjini Dodoma baada ya kufungua semina  viongozi na  watendaji  wa Jumuiya  ya Wazazi  Ngazi ya Taifa,mikoa na Wilaya nchini ,Februari  22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



No comments:

Post a Comment