Sunday, February 02, 2014

TAJIRI WA KIMAREKANI JOE RICKETTS APANIA KUBORESHA ELIMU NCHINI

 Mfanyabiashara maarufu nchini Marekani JOE RICKETTS kupitia tasisi ya uendelezaji elimu kwa njia ya mtandao imetoa tablets 90 zitakazotumiwa na wanafunzi wa shule binafsi ya bweni ya Josiah iliyoko katika manispaa ya Bukoba zitakazowawezesha wanafunzi katika shule hiyo kusoma kwa kutumia teknologia ya kisasa, kushoti ni mkuu wa shulke hiyo Alvella Kasusura na kushoto Samwel Tanguye.
 Wazee katika manispaa ya Bukoba, kulia ni Bw Rutabingwa na kushoto ni Bw Masabala mmoja wa wakurugenzi wa shule hiyo.
 Ruge Masabala akiteta jambo na mkuu wa shule.



No comments:

Post a Comment