Sunday, February 09, 2014

PROFESA ANNA TIBAIJUKA< MBUNGE WA MULEBA KUSINI AJENGA VYUMBA VYA MADARASA ViNNE KATIKA KIJIJI CHA BUHANGA KIJIJ

Hii ni sehemu ya vyumba vua madarasa ambavyo Profesa Tibaijuka amevijenga kwa nguvu yake katika kijiji cha Buhanga, Profesa Tibaijuka amefikia uamzi wa kujenga vyumba hivyo baada ya kutembelea kijiji hicho kuongea na wananchi, vyumba vingi vya madarasa katika shule hiyo ya msingi vilikuwa vimengwa kwa udogo huku vikiwa vimeezekwa kwa nyasi.
Add caption
Hii ndio ilikuwa madharari ya vyumba vya madarasa vya shule ya msingi Buhangwa, ambavyo vilikuwa vimejengwa kwa udongo huku vikiwa vimeezekwa kwa nyasi.

No comments:

Post a Comment