Thursday, February 20, 2014

MKUU WA MKOA KAGERA ATEMBELEA MWALO WA KASTAMU



Mkuu wa mkoa wa Kagera, Kanali Mstaafu Fabian Massawe akiangalia samaki aina ya Mboju alipotembelea mwalo wa Kastamu kukagua hali ya usafi, samaki hao adimu  wako kwenye hatari ya kutoweka ikiwa wavuvi wataendelea kutumia zana haramu za uvuvi ndani ya ziwa Victoria, mkuu huyo aliwaambia wavuvi katika mwalo huo kutumia zana bora za uvivi ili walinde rasilimali zinazopatikana katia ziwa hilo.
Huyu ndiye samaki aina ya Mboju wanaopatikana ndani ya ziwa victoria,, huuzwa kwa bei ya wasztani kati ya shilingi 15,000 hadi 50,000 kwa mmoja.
Baadhi ya wafanyabiashara wa eneo la mwalo wa nyamkazi.

Massawe akikagua usafi eneo la Buyekela.

No comments:

Post a Comment