Thursday, February 27, 2014

MAZISHI YA MWALIMU EMMANUEL RWETOIJELA

 Familia ya Revelian Mwesiga ilikuwa miongoni mwa walioudhuria mazishi ya mwalimu Emmanuel Rwetoijela yaliyofanyika katika kijiji cha Rwangono.
 Mzee Sosi Rushaka na Mwassa nao walioudhuria mazishi hayo.
 Baadhi ya watoto wa marehemu Rwetoijela.

No comments:

Post a Comment