Wednesday, February 05, 2014

MAMBO YA MRADI WA UMEME TOKA MUTUKULA HADI BUNAZI MKOANI KAGERA

Mussa Chowi afisa mkuu huduma kwa wateja wa TANASCO akiongea na wananchi wa vijiji na vya Byamtemba na mtukula, kulia ni afisa wa shirika hilo anayeshughulikia masuala ya teknologia, Bw. Mafuru.
Meneja wa shitika la umeme mkoani Kagera Martin Madulu akielezea mradi wa usambazaji umeme toka Bunazi hadi Mutukula.
Mambo ya utekelezaji wa mradi wa umeme,mmoja wa mafunzi akitandaza nyaya mradi huo utamalizika mwishoni mwa mwezi  huu.

No comments:

Post a Comment