Thursday, February 27, 2014

MAMBO YA BUNGE LA KATIBA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Spika wa Bunge, Anne Makinda kwenye ukumbi wa  Bunge mjini Dodoma katika semina  ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Februari 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 27, 2014. Kutoka kushoto ni Maria Sarungi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu na Mbunge wa Bunda, Stephen Wasira na Mbunge wa Igalula,Athumani, Mfutakamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment