Monday, February 24, 2014

MAMBO YA BUNGE LA KATIBA

 



  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Zamani wa Morogoro, Shamim Khan, nje ya  ukumbi wa Bunge mjini Dodoma  Februari 24, 2014. Kulia ni mbunge wa Sumve Richard Ndassa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Singida Magharibi Mohamed Bissanga na Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa ,wote wakiwa ni wabunge wa Bunge  Maalum la Katiba, nje ya ukumbi wa Bunge Mjiji Dodoama Februari 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment