Saturday, February 15, 2014

KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) katika jengo la White House mjini Dodoma leo, akiwa meza kuu na Makamu wa Rais wa CCM visiwani na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. 

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment