Sunday, February 02, 2014

KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISENYI

Baadhi ya madiwani wa halmashauri hiyo.
Mkuu wa wilaya ya Misenyi Issa Njiku akizungumza wakati wa kikao cha baraza la madiwani, kushoto ni mwenyekiti wa halmashauri hiyo William Katunzi na katikati ni mkurugenzi mtendaji wa hlamshauri hiyo, Elizabert Kitundu.
Baadhi ya watendaji wa halmashauri hiyo.

No comments:

Post a Comment