Sunday, January 12, 2014

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA KICHINA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  viongozi wa Kampuni ya Kichina ya  China  Merchant Holdings International  (CMHI) Ofisini kwake jijini Dar es salaam Januari  10, 2013. Kushoto  kwake  ni  Kiongozi wa Ujumbe huo ,  Hu Jianhua na kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Mary Nagu. Kampuni hiyo inatarajiwa kujenga bandari mpya ya Bagamoyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Kiongozi wa Ujumbe  kutoka Kampuni ya kichina ya  China Merchant  Holdings International (CMHI), Bw.  Hu Jianhua  kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu, jijini Dar es salaam Januari 10, 2014. Kampuni hiyo inatarajiwa kujenga kampuni mpya ya Bagamoyo. (picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment