Friday, January 17, 2014

WAZIRI MKUU AAGIZA MEYA WA MANISPAA YA BUKOBA AJIUZURU

Baadhi ya maofisa wa ofisi ya mkaguzi mkuu wa serikali walioshuhudia tamko la waziri mkuu la kutaka meya wa manispaa ya bukoba Anatory Amani kujiuzulu kufutia tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka zilizokuwa zinamkabili kudhihirika.
Baadhi ya viongozi mbalimbali wa serikali walioudhuria kikao cha kusoma taarifa ya ukaguzi wa mahesabu uliofanywa na ofisi ya CAG uliobaini tuhuma za  ubadhilifu zilizokuwa zinamkabili Meya Anatory Amani.
Baadhi ya wakazi wa manispaa ya Bukoba waliokuwa na nia ya  kujua yaliyoko  kwenye taarifa ya ukaguzi ya CAG.
Bernadetha Mshashu mbunge wa viti maalumu mkoani Kagera, na mwenyekiti wa bunge la wanawake la afrika alikuwa miongoni mwa walioudhuria kikao hicho.
Anatory Amani, Meya wa manispaa ya Bukoba aliyetakiwa kujiuzulu huyu hapa.

No comments:

Post a Comment