Thursday, January 16, 2014

MAUAJI YA WAKULIMA KITETO

Baadhi ya wananchi wa Kiteto  wakimsikiliza  Waziri Mkuu , Mizengo Pinda wakati alipowahutubia  Januari 16, 2014 katika mji wa Kibaya alipokwenda kuwapa pole wakulima wa wilaya hiyo  ambao walishambuliwa, kuuwawa na nyumba zao kuchomwa moto na  watu wanaosadikiwa kuwa  ni wafugaji. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Kiteto baada ya kuwasili wilayani humo  Januari 16, 2014  kufuatilia suala la mauaji ya wakulima. (Picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Kiteto baada ya kuwasili wilayani humo  Januari 16, 2014  kufuatilia suala la mauaji ya wakulima. (Picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu)
Eneo la Mtanzania  wilayani Kiteto  ambalo ni moja kati ya maeneo ya  makazi  yaliyovamiwa na watu wanaodaiwa kuwa wafugaji  ambapo watu watatu waliuawa na nyumba kuchomwa moto. Mlheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda alitembelea eneo hilo Januari  16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment