Monday, January 20, 2014

KIKAO CHA MRADI WA UWEKEZAJI KATIKA EKTA YA KILIMO NCHINI (DASIP) MKOANI KAGERA

Baadhi ya wajumbe wa kikao kilichokuwa na lengo la kutathimini mradi mbalimbali ya kilimo iliyotekelezwa na DASIP mkoani Kagera, kikao hicho kiliudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa wilaya, wakurugenzi watendaji wa halmashauri za wilaya, wenyetivi na wadau mbalimbali wanajihusisha na masuala ya kilimo.
Kushoto ni mkuu wa wilaya ya Karagwe, Darry Rwegasira na kulia ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Misenyi, Bi.Elizabert Kitundu.

No comments:

Post a Comment