Tuesday, January 21, 2014

KAMANDA GEORGE MAYUNGA WA JESHI LA POLISI MKOANI KAGERA AFUNGA MAFUNZO YA VIKUNDI VYA ULINZI SHIRIKISHI WILAYANI MISENYI

Wahitimu wa mafunzo yanayohusiana na masuala ya ulinzi shirikishi.
Kamanda George Mayunga akiongea na wananchi na vijana wahitimu wa mafunzo maalumu ya ulinzi shirikishi wa katika kata ya Kassambya.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa Kagera George Mayunga akiteta jambo la mkuu wa jeshi la polisi wa wilaya ya Misenyi Mtakitufolo.

No comments:

Post a Comment