Sunday, January 26, 2014

CHADEMA YAITIKISA BUKOBA

 Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Freeman Mbowe akitafakari jambo kabla ya kuwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa bukoba waliojitokeza kumsikiliza leo kwenye uwanja wa mashujaa ulioko katika manispaa ya Bukoba.
 Mbunge wa jimbo la ubungo, Mnyika akiwa na mkurugenzi wa idara ya usalama ya CHADEMA, Willfred Lwakatare ambaye ni mwiba wa mbunge wa jimbo la Bukoba mjini, aliyejiuzulu uwaziri wa maliasili na utalii baada ya kukumbwa na kafsha Balozi Khamis Kagasheki.
Baadhi ya wananchi katika manispaa ya Bukoba.









No comments:

Post a Comment