Tuesday, December 03, 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA TOKA UTURUKI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe wa vionmgozi wa Umoja wa wafanyabishara wa Uturuki (RSKON) alipokutana nao Ikulu jijini Dars ea salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja  na ujumbe wa viongozi wa Umoja wa wafanyabishara wa Uturuki (RSKON) alikoutana nao Ikulu jijini Dar es salaam.

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment