Monday, December 16, 2013

MATUKIO YA PICHA ZA BUNGE NA KAMATI KUU

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, bungeni mjini Dodoma  Desemba  13, 2013.

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu (kushoto) na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta (kulia) wakiteta na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, bungeni mjini Dodoma Desemba 13, 2013. (Picha a na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua  Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM, mjini Dodoma Desemba 13, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment