Monday, November 18, 2013

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZISHI YA DR. MVUNGI

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana  na Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande (kuhoto) na Rais wa Mahakama ya afrika Jaji  Sophia Kuffo kabla ya  kufungua mkutano wa majaji wa Afrika kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 18, 2013.
Askofu wa Jimbo, Geita Dmiano  Dallu akifukiza ubani mwili wa Dr. Edmund Mvungi katika ibada ya mazishi iliyofanyika  kijijini kwa marehemu, Chanjale wilayani Mwanga Novemba 18, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Dr.Edmund Mvungi katika ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwa marehemu Chanjale wilayani Mwanga Novemba 18, 2013. (Picha  na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment