Thursday, November 14, 2013

RAIS KIKWETE NCHINI SRI LANKA KUHUDHURIA MKUTANO WA JUMUIA YA MADOLA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiongea na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Defue mara baada ya kuwasili jijini Colombo, Sri Lanka, leo Novemba 14, 2013 tayari kwa mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola (CHOGM 
 
 
PICHA NA IKULU 2013).

No comments:

Post a Comment