Saturday, November 02, 2013

MATUKIO YA MASHINDANO YA MITUMBWI


 Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera, Philip Kalangi aliyekuwa mgeni rasmi akifuatilia kwa makini mchuano wa mitumbwi uliofanyika kwenye ufukwe wa ziwa Victoria.
 Mama Kalangi mwenye mtoto.
 Baadhi ya washiriki.

 Washiriki wakichuana.



 Baadhi ya wadau mkoani Kagera.
 Kalunde Antidius mwandishi maarufu alikuwa miongoni mwa warioudhuria mashindano hayo.
Mmiliki wa mtandao huu kulia alikuwa ni miongoni mwa waliudhuria mashindano ya mitumbwi.

No comments:

Post a Comment