Monday, November 11, 2013

MAMBO YA SHEREHE YA KUMUAGA MRATIBU ELIMU STONE MWASSA ANAMALIZA MUDA WAKE WA KUFANYA KAZI WILAYANI MULEBA

Mwenye miwani ni Margareth Mwesiga mmoja wa wakurugenzi wa utawala na fedha wa mtandao huu wa kijamii, mbele yake ni Edwin Baina kaka yake Bi. Mwesiga, walikuwa miongoni mwa walioudhuria sherehe ya kumuaga Bw. Mwassa iliyofanyika katika ukumbi wa Lion ulioko wilayani Muleba.

No comments:

Post a Comment