Sunday, November 10, 2013

MAADHIMISHO YA SIKU YA MLIPA KODI KAGERA

 Mkuu wa jeshi la polisi Bukoba, Manyama alikuwa miongoni mwa walioudhuria sherehe ya siku ya wiki ya mlipa kodi.
 Mkuu wa wilaya ya Misenyi, Kanali mstaafu Issa Njiku kulia alikuwa mgeni rasmi wakati wa maadhimisho hayo.

 Baadhi ya maofisa wa mamlaka ya mapato.
 Baadhi ya walipa kodi mkoani Kagera.
 Joston Rwiza, mhasibu wa TANICA akipokea cheti cha ushindi.

Mlipa kodi bora mkoani Kagera, Remigius Nshange akiwa na cheti chake.

No comments:

Post a Comment