Thursday, October 17, 2013

WAZIRI MKUU PINDA NCHINI UCHINA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akigonganisha glass na Waziri Mkuu wa China, Li Keqiang katika hafla ya kutia saini makubaliano ya Ushirikiano katika nyanja mbalimbali kati ya China na Tanzania kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu mjini Beijing Oktoba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment