Monday, October 21, 2013

WAZIRI MKUU PINDA NCHINI CHINA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu  (kushoto) wakisalimiana na viongozi  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Chengdu Shuangliu nchini China wakiwa katika ziara ya kakazi nchini humo Oktoba 21, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Mkuu, Mizengo PInda  akiondoka katika NYumba ya wageni ya Wozhou, Shenzhen tayari kwa safari ya kwenda Chendu akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 21, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment