Sunday, October 06, 2013

WAZIRI MKUU PINDA MKOANI KIGOMA

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Wahandisi na mafundi kutoka Korea ya Kusini ambao wanajenga daraja la kto  Malagarasi linalounganisha mikoa ya Kigoma na Tabora akiwa katika ziaraya mkoa  wa Kigoma Oktoba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  wakizungumza na Msimazi Mkuu wa ujenzi wa daraja la mto Malagarasi baada ya kukagua ujenzi wa daraja hilo  linalounganisha mikoa ya Tabora na Kigoma. Walikuwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Daraja mto Malagarasi linalojengwa na Kampuni kutoa Korea Kusini . Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alikagua daraja hilo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma  Oktoba 5, 2013.Ujunzi wa daraja hilo umekamilika kwa zaidi ya asilimia 90. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment