Monday, October 07, 2013

WAZIRI MKUU AKUTANA NA WADAU WA USAFIRISHAJI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi wa TATOA  ofisini kwake jijini Dar es salaam Oktoba 7 2013. Kushoto kwake ni Waziri wa Uchukuzi, Harison Mwakyembe na watatu kulia ni Mwenyekiti wa TATOA, Seif Ali Seif. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment