Wednesday, October 09, 2013

WAZIRI MKUU AAGANA NA BALOZI WA OMAN

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimpatia zawadi ya marimba Balozi wa Oman nchini aliyemaliza muda wake, Yahya Moosa Albakari ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri  Mkuu, jijini Dar es salaam kuaga Oktoba 8, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment