Wednesday, October 09, 2013

WAJANE WA WILAYA ZA KYELWA NA KARAGWE KWENDA OMUITONGO KUFARIJI MAMA MARIA NYERERE


 Sabi Lwazo mjumbe wa kamati ya maandalizi.

 Mwenyekiti wa maandalizi ya ziara ya iliyoandaliwa na akina mama wajane ya kutembelea kaburi la hayati mwalimu Julias Kambarage Nyerere.
Mbunge wa viti maalumu (CCM), Bi. Elizaberth Batenga alikuwa ni mmoja wa waliudhuria kikao cha kuwahamisha wanaKagera.

No comments:

Post a Comment