Tuesday, October 08, 2013

WAHITIMU WA SHULE YA SEKONDARI YA KISHOJU KUANDAA HARAMBE YA KUTUMISHA MFUMO WA KUKARABATI MIUNDO MBINU

Meneja uendeshaji wa kampuni ya utalii ya Kiroyera William Rutta ambaye ni mmoja wa wahitimu wa shule hiyo kushoto, kulia ni mwandishi wa kituo cha redio cha Kasibante na katikati ni diwani wa kata ya Bureza wakiwa katika eneo la shule ya Kishoju.
Mandhari ya sasa ya shule ya Kishoju.
Sehemu ya miundo mbinu ya shule hiyo iliyochakaa.

Mkuu wa shule ya sekondari ya Kishoju akila Ugali uliotengenezwa kwa ajili ya wanafunzi.

No comments:

Post a Comment